Mtumiaji:Kisare/Mbungo wa kawaida
Mandhari
Mbungo wa kawaida (Saba comorensis) |
---|
Uainishaji wa kisayansi |
|
Mbungo wa kawaida, au mbungo tu, ni spishi ya mmea mwenye maua katika familia ya Apocynaceae. Hupatikana popote pa Afrika ya tropiki pamoja na Madagaska na Komori. Matunda haya yanaonekana kama chungwa lenye ganda ngumu lakini likifunguliwa lina mbegu kadhaa zinazokaribia umbile la mbegu za maembe.