Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Kisare/Kiviosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiviosa ni lugha ya kuundwa na pijini iliyoanzishwa mwaka 2014 na wanajamii wa r/conlangs katika Reddit, ambao walitaka kuiga pijini. Lugha hii imeundwa ili kuchunguza mwingiliano kati ya lugha.

Jina lake linatokana na maneno ya Kiviosa "vi" (sisi) na "glossa" (lugha).

Kiviosa inasemekana kuwa “pijini ya kuundwa” kwa sababu kinafanana na pijini. Tangu mwanzo, maendeleo yake yameendeshwa na mazungumzo kati ya wanajamii wake tu. Kuna kanuni tatu tu: Kiingereza hakiwezi kusemwa; mradi mtu aeleweke, yeye anasema Kiviosa kizuri; hakuna usanifishaji semantiki au fonetiki.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 24 December 2014, mradi ulianzishwa na wanachama wa jamii ya Skype iliyohusiana na subreddit r/conlangs1. Lugh hii iliendeleza katika mkutano wa video, ambapo waumbaji wake aliiga hali kawaida ya uundaji lugha. Kwa hivyo, Kiviosa kina vyanzo mbalimbali. Lugha kuu zenye kuchanga ni:

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]