Mtofaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mtofaa
(Malus domestica)
Mtofaa
Mtofaa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Jenasi: Malus
Spishi: M. domestica Borkh., 1803

Mtofaa au mtufaha ni mti mdogo wa familia Rosaceae. Matunda yake huitwa matofaa au matufaha. Mti huu unapandwa kila mahali katika kanda za wastani au juu ya milima. Haukui vizuri katika kanda za tropiki, kwa sababu takriban aina zote za mtofaa zinahitaji halijoto za chini ili kurahisisha kuchanua na kutoa matunda.

Picha[hariri | hariri chanzo]