Mto Ruhwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ruhwa (pia: Lua, Luha, Luhwa, Luwa na Ruwa) unapatikana nchini Rwanda na Burundi.

Ni tawimto la mto Ruzizi ambao hutiririsha maji yake hadi kuingia katika ziwa Tanganyika. Kutoka huko maji yanaelekea mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ruhwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.