Nenda kwa yaliyomo

Mto Nyanzari (Ruyigi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Nyanzari (Ruyigi) ni jina la mto na la korongo vinavyopatikana katika mkoa wa Ruyigi (mashariki mwa Burundi).

Maji ya mto huelekea Ziwa Tanganyika, Mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki, kumbe yale ya korongo yanaelekea Ziwa Nyanza, mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Nyanzari (Ruyigi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.