Mto Kali (Karnataka)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search


Picha:Sadashivgad Fort & Kali Bridge as seen from Nandangadda Village.jpg
Mto Kali& ngome ya Sadashivgad inavyoonekana kutoka Kijiji cha Nandangadda


Mto Kali au Kalinadi (Kikannada: ಕಾಳಿ ನದಿ, Devanagari: काळी नदी) ni mto unaopitiaKarwar, Wilaya ya Kikannada Uttara jimbo laKarnataka nchini India.Mto huu ni msingi wa maisha kwa baadhi ya jamii 4 katika wilaya ya Uttara Kikannada na unasaiadida maelfu ya watu pamoja na wavuvi katika pwani ya Karwar.Kuna mabwawa mengi yamejengwa katika mto huu kwa ajili ya uzalishaji wa stimaumeme.


Ngome ya Sadashivgad ni kituo cha utalii maarufu katika daraja la mto Kali ambalo lilijengwa katika mkutano wa mto huu na bahari la Arabia.


Barabara kuu ya Taifa NH-17 inaendelea kwenye daraja la Kali lililojengwa juu ya mto Kali na barabara hii inaendelea na kupasua kilima cha granite a juu ya mto na barabara unaendelea pasua Sadashivgad mwamba granite kilima kuwaunganisha Karnataka na Goa.


Picha:Sunset seen from Kali River Bridge.jpg
Mtazamo wa jua likiaga katika daraja la mto Kali.

Asili na Mkondo[hariri | hariri chanzo]

Mto huu una asili yake katika Ghats Magharibi na hutiririka upande wa magaharibi kujiunga na Bahari ya Arabian mto huu hupitia wilaya ya Karwar. Mtiririko wa mto zaidi kupitia wilaya ya Kaskazini Canara. Mto una tawimito ifuatayo, Upper Kaneri na Tattihalla.


Picha:Leisure boats on Kali River.jpg
Mashau ya starehe katika mto Kali

Uchafuzi na Ikolojia[hariri | hariri chanzo]

Takataka inayoachiliwa bila kutibiwa na viwanda ,uchimbaji wa mchanga usio halali katika bwawa la Supa yanasababisha usumbufu wa ikolojia katika mto huu,makampuni ya kemikali yamekuwa yakiachilia sumu ikiwemo zebaki katika ambayo yamekuwa kinachovuja sumu taka ikiwemo zebaki kwa miongo .


Maelezo mengine.[hariri | hariri chanzo]


Mtazamo wa mto Kali na daraja kutoka ngome ya Sadashivgad .

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Anwani ya kijiografia: 14°50′32″N 74°07′23″E / 14.84222°N 74.12306°E / 14.84222; 74.12306