Mto Krishna
Mandhari
(Elekezwa kutoka Krishna River)
Chanzo | Milima ya Ghat ya Magharibi, jimbo la Maharashtra |
Mdomo | Ghuba ya Bengali |
Nchi | Uhindi |
Urefu | km 1,400 |
Kimo cha chanzo | m 914 |
Mkondo | m3 1,641 |
Eneo la beseni | km2 258,948 |
Mto Krishna (kwa Kiingereza: Krishna River) ni kati ya mito mikubwa ya Uhindi ukiwa mto mrefu wa tano katika nchi hii. Uko katika kusini ya Uhindi. Mto ndio chanzo kikuu cha umwagiliaji katika majimbo ya Telangana, Maharashtra, Karnataka na Andhra Pradesh.
Chanzo chake kipo kwenye milima ya Ghat ya Magharibi halafu unaendelea kuvuka rasi ya Uhindi hadi kuishi upande wa mashariki, katika Ghuba ya Bengali.
Jina la mto ni ya kukumbuka mungu Krishna wa dini ya Uhindu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Krishna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |