Mto Krishna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Krishna
Beseni ya Krishna
Chanzo Milima ya Ghat ya Magharibi, jimbo la Maharashtra
Mdomo Ghuba ya Bengali
Nchi Uhindi
Urefu km 1,400
Kimo cha chanzo m 914
Mkondo m3 1,641
Eneo la beseni km2 258,948
Bonde la mto Krishna karibu na Srisailam, Andhra Pradesh, Uhindi

Mto Krishna (kwa Kiingereza: Krishna River) ni kati ya mito mikubwa ya Uhindi ukiwa mto mrefu wa tano katika nchi hii. Uko katika kusini ya Uhindi. Mto ndio chanzo kikuu cha umwagiliaji katika majimbo ya Telangana, Maharashtra, Karnataka na Andhra Pradesh.

Chanzo chake kipo kwenye milima ya Ghat ya Magharibi halafu unaendelea kuvuka rasi ya Uhindi hadi kuishi upande wa mashariki, katika Ghuba ya Bengali.

Jina la mto ni ya kukumbuka mungu Krishna wa dini ya Uhindu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Krishna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.