Mti wa uzima
Mandhari
Mti wa uzima (kwa Kiebrania עֵץ הַֽחַיִּים, Etz haChayim,) ni mfano unaotumiwa na Biblia.[1]
Katika kitabu cha Mwanzo, mti wa uzima unapatikana katika mstari 2:9 kama mti uliopandwa na YHWH Elohim (יְהוָה אֱלֹהִים) karibu na mti wa ujuzi wa mema na mabaya (עֵץ הַדַּעַת) "katikati ya bustani ya Eden".[2]
Katika 3:24 imeandikwa kwamba baada ya dhambi ya asili kerubi analinda njia inayofikia mti wa uzima.
Kitabu cha Mithali kinatumia jina hilo mara nne (3:18, 11:30, 13:12 na 15:4).
Hatimaye Kitabu cha Ufunuo kinatumia usemi wa Kigiriki ξύλον (τῆς) ζωής, xylon (tēs) zōës, mara nne vilevile (2:7, 22:2, 22:14 na 22:19.
Kwa kawaida Wakristo wamechukua usemi huu kama wa fumbo kwa msalaba wa Yesu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Encyclopaedia Britannica. Encyclopaedia Britannica Online (2013). "world tree". Encyclopædia Britannica Inc.
- ↑ Mettinger 2007, pp. 5–11
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Entheomedia.org Archived 1 Oktoba 2018 at the Wayback Machine.
- Chrismons and fleur de lis Archived 11 Septemba 2013 at the Wayback Machine.
- Ancient Egypt, the tree of life
- Colin Low's Notes on Kabbalah - The Tree of Life
- Donmeh West Archived 2 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Kheper's Kabbalah Page
- Work of the Chariot
- The Isometric Sephiroth: The Forgotten Correspondences Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- Etz Hhaim: The Tree of Life: The Original Tree of the Sepher Yetsira
- Mettinger, Tryggve (2007). The Eden Narrative: A Literary and Religio-historical Study of Genesis 2-3. Eisenbrauns. ISBN 9781575061412.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mti wa uzima kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |