Nenda kwa yaliyomo

Magofu ya Msuka Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Msuka Mjini Ruins)
Gofu la msikiti.

Magofu ya Msuka Mjini (Mji wa Kale wa Msuka Mjini) ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lililopo ndani ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba nchini Tanzania.

Msuka Mjini ina msikiti wa Waswahili tokea karne ya 15 uliohifadhiwa katika magofu kwenye peninsula ya Kigomasha kisiwani humo. Tarehe ya 816AH (1414 CE) imechongwa sehemu ya ndani ya duara ya mirhabu.[1][2][3][4]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zanzibar Historical Sites - Saving Tour" (kwa American English). 2020-04-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-21. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
  2. http://erepository.uonbi.ac.ke/bitstream/handle/11295/63888/Kessy_The%20economic%20basis%20and%20the%20location%20of%20some%20%20iron%20age%20%20settlements.pdf?sequence=2
  3. Allen, James de Vere (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 306–334. doi:10.2307/218047. ISSN 0361-7882.
  4. Schacht, J. (1957). "An Unknown Type of Minbar and Its Historical Significance". Ars Orientalis. 2: 149–173. ISSN 0571-1371.