Msuka (Pemba)
Mandhari
| Msuka | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Pemba Kaskazini |
| Wilaya | Micheweni |
Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa
Msuka ilikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kisiwa cha Pemba, leo nchini Tanzania, kwenye Bahari ya Hindi.
Baadaye ilikuwa kata ya Wilaya ya Micheweni katika Mkoa wa Pemba Kaskazini, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,094 waishio humo. [1] Kwa sasa imegawiwa katika kata za Msuka Magharibi na Msuka Mashariki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-26.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Msuka (Pemba) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |