Nenda kwa yaliyomo

Msisimko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vijana wa Australia wakiwa wamsisimka.

Msisimko (kutoka kitenzi "kusisimua") ni hali ya mtu kuhisi mshtuko wa ghafla moyoni au mwilini baada ya kuona au kuingiwa na hamu kubwa ya kupata au kufanya jambo fulani. Unaweza kusababishwa na hofu ya ghafla lakini pia na furaha au mshtuko mwingine.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msisimko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.