Mshipa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mishipa ya damu katika moyo

Mshipa ni mrija mdogo wenye kupitisha damu au mawasiliano katika mwili wa kiumbehai k.v. mnyama au binadamu.

Mishipa ya damu[hariri | hariri chanzo]

Mishipa ya damu ni kama vile aorta, ateri, vena, venacava. Kwa jinsi ilivyotajwa kwa kujipanga ndivyo hivyohivyo jinsi ukubwa wa mishipa hiyo ilivyo. Pia kuna mishipa inayopeleka damu chafu katika moyo na kuna mishipa inayopeleka damu safi kwenda sehemu zote za mwili.

Moyo pamoja na mishipa ya damu mwenye mwili huitwa mfumo wa mzunguko wa damu. Damu husukumwa kwa mapigo ya moyo na hupeleka oksijeni kwenye tishu.

Kuna maili 100,000 za mishipa ya damu ndani ya mwili wa mtu mzima.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mshipa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.