Nenda kwa yaliyomo

Aorta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aorta na moyo.

Aorta (au aota au mkole) ni mshipa wa damu unaoanza katika moyo na ambao kazi yake ni kupeleka damu safi yenye oksijeni kwenye sehemu zote za mwili wa binadamu na wanyama mbalimbali.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aorta kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.