Mpiji Magohe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mpiji Magohe ni kijiji kimojawapo ndani ya mkoa wa Dar es Salaam, kata ya Mbezi.

Jamii ya Wagogo na Wachaga hupatikana kwa wingi, hasahasa mtaa wa Kalifonia na Tanzanite.