Mbezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Mbezi

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Tanzania" does not exist.Mahali pa Mbezi katika Tanzania

Majiranukta: 6°47′42″S 39°15′58″E / 6.79500°S 39.26611°E / -6.79500; 39.26611
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ubungo
Idadi ya wakazi
 - 73,414

Hii ni makala ya Mbezi ya Ubungo. Kwa makala ya Mbezi ya Mkuranga, Pwani, tafadhali fungua hapa

Mbezi ni jina la kata ya Wilaya ya Ubungo katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 16113[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 73414 waishio humo. [2] Inasemekana jamii iliyokuwa na watu wengi ni Wagogo wanaopatikana sehemu za Mpiji Magoe mtaa wa Makuti kijiji cha Msakuzi.

Kuna wafanya biashara wadogowadogo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ubungo - Mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Goba | Kibamba | Kimara (Ubungo) | Kwembe | Mabibo | Makuburi | Makurumla | Manzese | Mbezi | Mburahati | Msigani | Saranga | Sinza | Ubungo