Mohamed Ali Messaoud
Mohamed "Rida" Ali Messaoud (alizaliwa 15 Septemba 1953) ni mchezaji na meneja wa zamani wa tiku ya taifa Algeria.[1][2]
Maisha Ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Mohamed Ali Messaoud alizaliwa tarehe 15 Septemba 1953 katika mji wa Annaba nchini Algeria. Pia anatambulikana kwa Jina lake la utani ni "Rida".
Ushiriki Katika Klabu
[hariri | hariri chanzo]Ali Messaoud alianza uchezaji wake katika klabu ya Hamra Annaba, klabu iliyopo katika mji aliozaliwa wa Annaba nchini Algeria.
Mtindo wa uchezaji
[hariri | hariri chanzo]Ali Messaoud alicheza kama fowadi, pia kama winga wa kulia, Ali Messaoud alikuwa mchezaji "mtaalamu sana", lakini "uchangamfu wake mdogo" ulimzuia kufanya matokeo makubwa akiwa na klabu ya PSG.
Maisha baada ya soka
[hariri | hariri chanzo]Baada ya kustaafu soka mwaka 1997, Ali Messaoud akawa meneja wa klabu ya Bormes Mimosas Sport. Mnamo 1999, alibadilisha vilabu, na kuanza kufundisha klabu ya ASPTT Hyères
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "ALI MESSAOUD". PSG70 (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link) - ↑ "Mohamed ALI-MESSAOUD". Histoire du PSG (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Ali Messaoud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |