Nenda kwa yaliyomo

Moderaterna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Nya Moderaterna"

Moderata samlingspartiet (au kwa kifupi "Moderaterna") ni chama cha siasa nchini Uswidi.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Chama cha Moderaterna kilianzishwa mwaka wa 1904 chini ya jina "Allmänna valmansförbundet".

Waziri wakuu kutoka Moderaterna[hariri | hariri chanzo]

Fredrik Reinfeldt 2013.

Asilimia za Moderaterna katika kura ya kitaifa ya Uswidi[hariri | hariri chanzo]


Itikadi[hariri | hariri chanzo]

Moderaterna husogeza siasa ya uchumi wa soko na ubepari.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]