Mfiwi mafuta
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mnjahee)
| Mfiwi mafuta (Lablab purpureus) | ||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mfiwi mafuta | ||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mfiwi mafuta au mnjahe (Lablab purpureus) ni jina la mmea katika familia Fabaceae. Mbegu zake huitwa fiwi mafuta au njahe (kutoka na Kikikuyu: njahĩ). Mfiwi mafuta ni mmea wa Afrika unaokuzwa mahali popote katika ukande wa tropiki siku hizi.
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Majani na maua
- Maua
- Matumba
- Njahe