Nenda kwa yaliyomo

Mndimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mndimu
(Citrus aurantiifolia)
Mndimu
Mndimu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Rutaceae (Mimea iliyo na mnasaba na Ruta)
Jenasi: Citrus
Spishi: C. aurantiifolia
(Christm.) Swingle

Mndimu (Citrus aurantiifolia) ni mti wa jamii ya mchungwa unaozaa ndimu.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mndimu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.