Nenda kwa yaliyomo

Mlimau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlimau
(Citrus × limon)
Mlimau
Mlimau
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Rutaceae (Mimea iliyo na mnasaba na Ruta)
Jenasi: Citrus
Spishi: C. × limon
(L.) Burm. f.

Mlimau (Citrus × limon) ni mti wa jamii ya mchungwa unaozaa malimau.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlimau kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.