Mlima Musala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Musala, upande wa Kusini

Mlima Musala ni mlima mrefu kuliko yote ya Balkani (Ulaya). Uko katika nchi ya Bulgaria, milima ya Rila.

Urefu wake ni mita 2,925 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Musala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.