Nenda kwa yaliyomo

Mlima Khumbila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari ya nyuma ni ya mlima Khumbila

Mlima Khumbila (unajulikana kama Mungu wa Khumbu) ni mmoja wa milima wenye vilele virefu katika safu ya Milima ya Himalaya unaopatikana katika mkoa wa Khumbu, mashariki mwa nchi ya Nepal huku wakazi wa eneo hilo wakiamini kuwa mlima huo ndio makazi ya Mungu. Ni mlima wenye urefu wa mita 5,761 juu ya usawa wa bahari [1]

Mlima huo unapatikana katika mipaka ya hifadhi ya taifa ya Sagarmatha [2] na mara nyingi watu wenye imani ya wamonaki huutumia mlima huo kama sehemu zao za kufanyia ibada [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mount Khumbila Weather Forecast (5761m)". www.mountain-forecast.com. Iliwekwa mnamo 2020-03-05.
  2. "Mount Khumbila, Nepal Tourist Information". www.touristlink.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-14. Iliwekwa mnamo 2020-03-05.
  3. Alamy Limited. "Stock Photo - Mount Khumbila, or Khumbi Yul Lha, near the village of Khumjung, Nepal, is regarded as sacred by the local Sherpas". Alamy (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-05.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Khumbila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.