Mkongobaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkongobaki ni kata ya Wilaya ya Ludewa katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 59419.

Kata hii ina vijiji vitatu ambavyo ni Mkongobaki, Ugera na Lipangala. Makao makuu ya kata yapo katika kijiji cha Ugera ambacho kipo katikati ya kata hiyo.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 3,371 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,530 [2] walioishi humo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 210
  2. "Sensa ya 2012, Njombe - Ludewa DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-16. 
Kata za Wilaya ya Ludewa - Mkoa wa Njombe - Tanzania

Ibumi | Iwela | Kilondo | Lifuma | Luana | Lubonde | Ludende | Ludewa | Lugarawa | Luilo | Lumbila | Lupanga | Lupingu | Madilu | Madope | Makonde | Manda | Masasi | Mavanga | Mawengi | Milo | Mkongobaki | Mlangali | Mundindi | Nkomang'ombe | Ruhuhu


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkongobaki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.