Nenda kwa yaliyomo

Mkanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkanda wa suruali

Mkanda ni vazi ambayo hutumika kiunoni kwa ajili ya kushikilia nguo, hasa suruali.

Pia ni mshipi wa ngozi au kitu kingine unaotumika kuendeshea mashine mbalimbali na mitambo ya viwandani.

Tena ni mshipi uliowekwa katika magari na vyombo vingine vya usafiri ili abiria wajifunge nao kuongezea usalama wao.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkanda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.