O.M.I.
Missionary Oblates of Mary Immaculate (kifupi O.M.I.) ni shirika la kipapa la wamisionari lililoanzishwa na Eujeni Mazenod (1782-1861) tarehe 25 Januari 1816.
Mtakatifu huyo kutoka Ufaransa alipata kibali cha Papa Leo XII tarehe 17 Februari 1826.
Shirika linaundwa na mapadri na mabruda ambao kwa kawaida wanaishi kijumuia.
Mwaka 2011 walikuwa 4,400 hivi (kati yao 580 katika hatua za malezi) wakifanya umisionari katika sehemu nyingi za dunia, wakiwemo makardinali 2 na maaskofu wengi.[1]
Historia na karama
[hariri | hariri chanzo]Lengo la awali la shirika lilikuwa kuleta uamsho katika Kanisa Katoliki la Ufaransa baada ya Mapinduzi ya Kifaransa.
Lakini mapema kazi zake ziliongezeka na kuenea.[2] Papa Pius XI (1857-1939) alipendezwa na juhudi za wanashirika hata akawaita “Wataalamu wa misheni ngumu zaidi za Kanisa”[3]
Kama watawa wengine, wanashirika wanaweka nadhiri kuhusu mashauri ya Kiinjili ya useja mtakatifu, ufukara na utiifu.
Wanashirika maarufu
[hariri | hariri chanzo]- Hubert Constant (1931 - 2011)
- Thomas Cooray (1901 - 1988)
- Francis George (1937-)
- Vital-Justin Grandin (1829 - 1902)
- Joseph-Hippolyte Guibert (1802 - 1886)
- Denis Hurley (1915 - 2004)
- Carl Kabat (1933-)
- Albert Lacombe (1827 - 1916)
- Adrien-Gabriel Morice (1859 - 1938)
- Émile Petitot (1838 - 1916)
- Orlando Beltrán Quevedo (1939-)
- Ronald Rolheiser (1947-)
- Larry Rosebaugh (1935 - 2009)
- Constantine Scollen (1841 - 1902)
- Jean-Marie-Rodrigue Villeneuve (1883 - 1947)
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Generalate website: Who we are". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-23. Iliwekwa mnamo 2014-04-09.
- ↑ "Australian Province: Oblate charism". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-06-01. Iliwekwa mnamo 2014-04-09.
- ↑ "Philippine Province: Mission Today". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-06. Iliwekwa mnamo 2014-04-09.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Carrière,, Gaston (1957), Histoire documentaire de la congrégation des Missionnaires Oblats de Marie-Immaculée dans l’Est du Canada. Vol. 1., Ottawa, Ontario: Éditions de l’Université d’Ottawa,
{{citation}}
: CS1 maint: extra punctuation (link) - Carrière,, Gaston (1957), Dictionnaire biographique des Oblats de Marie-Immaculée au Canada. Vol. 1-3., Ottawa, Ontario: Éditions de l’Université d’Ottawa,
{{citation}}
: CS1 maint: extra punctuation (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website
- Oblate Missions in San Antonio Texas Ilihifadhiwa 22 Machi 2022 kwenye Wayback Machine.
- (Oblate) Missionary Association in Belleville, IL
- US Province Site
- Oblate School of Theology, San Antonio, Texas
- OMI Philippine Province Ilihifadhiwa 17 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.
- China Mission Ilihifadhiwa 18 Februari 2014 kwenye Wayback Machine.
- The Missionary Oblate of Mary Immaculate in Southern Africa
- Notre Dame of Marbel University Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine. a school under the administration of the Marist Brothers
- Notre Dame University, Cotabato City Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Notre Dame of Greater Manila, Caloocan City Ilihifadhiwa 11 Aprili 2006 kwenye Wayback Machine.
- Notre Dame of Midsayap College
- Missionary Oblates of Mary Immaculate in Canada: OMI Lacombe Ilihifadhiwa 11 Agosti 2014 kwenye Wayback Machine.
- Oblate Missionary Centre (CMO), Montreal, Canada Ilihifadhiwa 17 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.