Nenda kwa yaliyomo

Misheni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Misheni (kutoka neno la Kiingereza: mission ambalo asili yake ni lile la Kilatini missio) ni mahali pa umisionari hasa wa dini ya Ukristo.

Mara nyingi ina makazi ya wamisionari na wahudumu wengine, majengo ya ibada na ya huduma za kijamii kama vile hospitali, shule n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.