Milima ya Ghat
Mandhari
Miima ya Ghat ni safu mbili za milima zinazofuatana na pwani ya Uhindi Kusini. Milima hii haiko ufukoni moja kwa moja lakini safu zake kufuata mwenyo wa pwani.
Ghat za Magharibi hutazama Bahari ya Uarabuni na Ghat za Mashariki huangalia Ghuba ya Bengali. Kati yake ziko nyanda za juu za Dekkani.
Ghat za Mashariki zinavunjwa katika makundi ya vilima visivyofanana.
Ghats za Magharibi ni kama safu mfululizo. Mitelemko yake ni mikali upande wa bahari lakini za taratibu upande wa bara.
Chanzo
[hariri | hariri chanzo]- Gets ; Encyclopædia Britannica
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Ghat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |