Nenda kwa yaliyomo

Miguel Ángel Asturias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Miguel Ángel Asturias (19 Oktoba 18999 Juni 1974) alikuwa mwandishi na mwanasiasa kutoka nchi ya Guatemala. Hasa aliandika mashairi na riwaya. Mwaka wa 1967 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miguel Ángel Asturias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.