Mifumo ya adobe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chapa ya mifumo ya adobe
Chapa ya mifumo ya adobe

Adobe ni kampuni ya programu ya Marekani. Kawaida, mipangilio yote wanayofanya ni kwa matumizi ya ubunifu, kama vile Adobe Flash, Adobe Dreamweaver na Adobe Photoshop. Bidhaa zote za Adobe kwenye tovuti yao zinaruhusiwa kupakuliwa, lakini kwa muda mdogo tu.