Midori Honda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Midori Honda (alizaliwa 16 Novemba 1964) ni meneja wa mpira wa miguu nchini Japani. Midori ni mchezaji wa zamani ambae kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Uzbekistan. Alipokuwa mchezaji, Honda aliichezea timu ya taifa ya wanawake ya Japani. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Midori Honda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.