Mdomo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Midomo)
Jump to navigation Jump to search
Midomo ya binadamu

Midomo ni sehemu ya uso wa binadamu na wanyama ambayo hutumiwa kwa ajili ya: kulia chakula, kuongea au kutoa sauti, kupiga miayo, kuimba n.k.

Mdomo umeundwa kwa lipizi mbili: ya kwanza huwa juu na nyingine huwa chini; labda yatokee mabadiliko katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu.

Viumbe wenye mdomo ni kama: binadamu, paka, panya, mbwa, simba n.k.

Mdomo wa mto[hariri | hariri chanzo]

Neno mdomo linatumiwa pia kwa sehemu ya mto ambako unaishia kwa kuingia katika bahari, ziwa au kama tawimto katika mto mkubwa zaidi.

Gray188.png Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdomo kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.