Nenda kwa yaliyomo

Mnandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Microcarbo)
Mnandi
Minandi kidari-cheupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Suliformes (Ndege kama ndegejinga)
Familia: Phalacrocoracidae (Ndege walio na mnasaba na minandi)
Reichenbach, 1850
Ngazi za chini

Jenasi 3; spishi 10 katika Afrika:

Minandi ni ndege wa maji wa familia Phalacrocoracidae ambao wanafanana na vibisi lakini wana mkia mrefu zaidi na domo lao ana ncha kwa kulabu. Rangi yao kuu ni nyeusi. Minandi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga matago yao kwa matawi na mimea ya maji juu ya miti au miamba. Jike huyataga mayai 3-4.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]