Mfyulisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mfyulisi
(Prunus persica)
Kiunga cha mifyulisi
Kiunga cha mifyulisi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Nusufamilia: Amygdaloideae (Mimea iliyo na mnasaba na mlozi)
Jenasi: Prunus
Nusujenasi: Amygdalus
Spishi: P. persica (L.) Batsch, 1801

Mfyulisi ni mti mdogo wa jenasi Prunus (nusujenasi Amygdalus) katika familia Rosaceae. Matunda yake huitwa mafyulisi. Asili ya mti huu ni Uchina, lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.

Picha[hariri | hariri chanzo]