Merveille Bokadi
Mandhari
Merveille Bope Bokadi (alizaliwa 21 Mei 1996) ni mchezaji wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Standard ya Liège iliyopo nchini Ubelgiji na timu ya taifa ya Kongo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Merveille Bokadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |