Memphis Depay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
depay akiwa Lyon
Depay
Memphis Depay.

Memphis Depay amezaliwa 13 Februari 1994 huko Uholanzi.

Ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Uholanzi na timu ya Olimpique Lyon ambayo ipo kwenye ligi ya Ufaransa.

Memphis kabla ya kuenda kuichezea Olimpique lyon alicheza kwenye timu ya Manchester United. Memphis hucheza nafasi ya winga wa kushoto akiwa uwanjani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Memphis Depay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.