Melesi
Jump to navigation
Jump to search
Melesi | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Melesi wa Ulaya (Meles meles)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Spishi 3:
|
Melesi (kutoka Kilatini: meles) ni wanyama wa jenasi Meles katika familia Mustelidae. Wanafanana na nyegere wa Afrika lakini ni wakubwa zaidi.
Spishi[hariri | hariri chanzo]
- Meles anakuma, Melesi wa Japani (Japanese badger)
- Meles leucurus, Melesi wa Asia (Asian badger)
- Meles meles, Melesi wa Ulaya (European badger)
Picha[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melesi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |