Mekelle
Mandhari
Mekelle ni mji mkuu wa jimbo la Tigray katika Ethiopia ya kaskazini. Iko takriban km 650 kaskazini kwa Addis Ababa. Idadi ya wakazi ilikadiriwa mwaka 2016 kuwa 441,991.
Kuna chuo kikuu kinachotoa masomo hasa ya kilimo na uchumi.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mekelle ilianzishwa kama mji mkuu wa Kaisari Yohanne IV katika karne ya 19. Imeendelea kukua kuwa kitovu cha kiuchumi na kiutawala cha Tigray.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Ethiopian Treasures - The castle of Emperor Yohannes IV Archived 29 Juni 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mekelle kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |