Megan Rapinoe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Megan Rapinoe

Megan Rapinoe (alizaliwa 5 Julai 1985) ni mwanamke mchezaji wa soka wa kitaalamu wa Marekani ambaye anachezea na ni nahodha wa timu ya Reigns FC katika Ligi ya ya Soka ya Wanawake, kama kiungo na winga.

Kama mchezaji wa timu ya taifa ameisaidia timu yake itwae Kombe la dunia la wanawake mwaka 2015 na 2019 na pia medali ya dhahabu katika Olimpiki ya London ya mwaka 2012, na kumalizia timu katika Kombe la Dunia la Wanawake la 2011.

Tangu mwaka 2018, amekuwa nahodha wa timu yake ya taifa pamoja na Carli Lloyd na Alex Morgan.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Megan Rapinoe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.