Mdudu Mabawa-vena
Mandhari
Mdudu mabawa-vena | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Bawakimia mwekundu (Dysochrysa furcata)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Nusuoda 3
|
Wadudu mabawa-vena ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda Neuroptera (neuro = neva, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Katika Afrika familia inayojulikana sana ni Myrmeleontidae (vitukutuku au simba-sisimizi).
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Hemerobiiformia (nzi-vunjajungu: Mantispa sturiaca)
-
Hemerobiiformia (bawakimia kahawia: Hemerobius humulinus)
-
Hemerobiiformia (bawakimia-nondo: Rapisma sp.)
-
Myrmeleontiformia (simba-sisimizi: Myrmeleon pictifrons)
-
Myrmeleontiformia (nzi-bundi: Ascalaphus sinister)
-
Myrmeleontiformia (bawakimia macho-buluu: Nymphes myrmeleonides)
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Mabawa-vena kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |