Nenda kwa yaliyomo

Mdoriani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mdoriani
(Durio spp.)
Mdoriani ukizaa matunda
Mdoriani ukizaa matunda
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malvales (Mimea kama mpamba)
Familia: Malvaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mpamba)
Jenasi: Durio
L.
Ngazi za chini

Spishi 30 kwa jumla; spishi 9 zinatoa matunda yalikayo:

Midoriani ni miti mikubwa ya jenasi Durio katika familia Malvaceae. Matunda yao huitwa madoriani.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdoriani kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.