Nenda kwa yaliyomo

Mbutu Bandarini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Magofu ya Msikiti wa Mbutu Bandarini kata ya Somangila Kigamboni

Mbutu Bandarini ni eneo la kihistoria la kitaifa lililopo katika kata ya Somangila, Wilaya ya Kigamboni, katika Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania.[1][2]

Kuna magofu ya mji wa kale wa Waswahili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Contract of Restoration of Historical Structures in Kimbiji" (PDF). Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. de Vere Allen, James (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 306–334. doi:10.2307/218047. JSTOR 218047.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbutu Bandarini kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.