Mbarouk Salim Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbarouk Salim Ali (amezaliwa 20 Juni 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Wete kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017