Mb Dogg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
MB Dogg
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Mb Dogg
Nchi Tanzania
Alizaliwa 28 Agosti 1983
Aina ya muziki R&B - Bongo Flava
Kazi yake Mwanamuziki
Miaka ya kazi 2000 - hadi leo
Ameshirikiana na Madee
Chelea Man
Yakuza Mobb
Zola D
Pingu
Tip Top Connection
Vichwa Ngumu Crew
Ala Sauti
Kampuni Bongo Records
Uptown Records
Mandugu Digital

Mbwana Mohammed Ali (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama MB Dogg; amezaliwa 28 Agosti 1983) ni mshindi wa Tuzo ya Kili akiwa msanii bora wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.[1]

Anafahamika kwa vibao vyake mahili kama vile Latifah, Waja, Mapenzi Kitu Gani, Inamaana na Natamani ya mwaka wa 2008.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mb Dogg kuchukua Tuzo ya Kili - 2006". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-28. Iliwekwa mnamo 2008-08-06. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mb Dogg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.