Nenda kwa yaliyomo

Kili Music Awards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kilimanjaro Music Awards
Nembo ya Kili Music
Nembo ya Kili Music
Tuzo hutolewa kwa ajili ya Muziki tu
Huwakilishwa na Tanzania Breweries Limited
Nchi Tanzania

Kilimanjaro Music Awards ni tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa wasanii wote nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Tuzo huwa zinatolewa kila mwaka kwa dhumuni la kuwapa mwamko wasanii wa Afrika Mashariki, kundeleza vipaji na usia kwa jamii ya Kiafrika kwa ujumla, hivyo hutolewa kama pongezi kwa kazi walioifanya kwa kuelimisha jamii katika kipindi cha mwaka mzima.

Vipengele vya Tuzo kwa sasa[hariri | hariri chanzo]

 • Msanii Bora wa Kiume
 • Msanii Bora wa Kike
 • Mwimbaji Bora wa Kiume
 • Mwimbaji Bora wa Kike
 • Mwandishi Bora wa Wimbo
 • Msanii Bora Anayekuja
 • Msanii Bora wa Hip Hop
 • Rapr Bora (kutoka Bendi)
 • Wimbo Bora
 • Video Bora ya Muziki
 • Mkurugenzi Bora wa Video ya Muziki
 • Wimbo Bora wa Afro Pop
 • Wimbo Bora wa R&B
 • Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba
 • Wimbo Bora wa Hip Hop
 • Wimbo Bora wa Ushirikiano
 • Wimbo Bora wa Kiswahili (kutoka kwa Bendi)
 • Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall
 • Wimbo Bora wa Reggae
 • Wimbo Bora wa Taarab
 • Wimbo Bora wa Afrika Mashariki
 • Wimbo Bora wa Jadi
 • Mtayarishaji Bora Jim Beam

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kili Music Awards kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.