Nenda kwa yaliyomo

Zola D

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zola D

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa David Michael Mlope
Amezaliwa 20 Januari 1980 (1980-01-20) (umri 44)
Aina ya muziki Hop hop
Kazi yake Rapa
Ame/Wameshirikiana na Dknob, Benjamin wa Mambo Jambo

David Michael Mlope au Zola D (amezaliwa 21 Januari 1980) ni mwimbaji wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania.

Huenda akawa anafahamika zaidi kwa vibao vyake kadhaa vilivyoweza kutikisa jiji la Dar es Salaam kwa kipindi kirefu; vibao hivyo ni: "Jana sio Leo" na "Moto wa Tippa".

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zola D kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.