Maureen Eke
Mandhari
| Maureen Eke | |
| Amezaliwa | 19 Desemba 1986 Nigeria |
|---|---|
| Nchi | Nigeria |
| Kazi yake | Mchezaji wa mpira wa miguu |
Maureen Eke (alizaliwa 19 Desemba, 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo.
Maureen ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchini Nigeria na alishiriki katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mnamo mwaka 2007. Pia anacheza katika klabu ya mpira ya Delta Queens FC katika Jimbo la Delta, Nigeria . [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maureen Eke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |