Nenda kwa yaliyomo

Mateu Morey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mateu Jaume Morey Bauzà (alizaliwa 2 Machi 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Dan (2019-05-04). "La Masia: Mateu Morey". BarcaBlog (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mateu Morey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.