Nenda kwa yaliyomo

Masuma Esmati-Wardak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masuma Esmati-Wardak ni mwanasiasa na mwandishi wa Afghanistan,aliungana na wanawake wa kwanza kuhudumu katika bunge la Afghanistan na aliwahi kuwa Waziri wa Elimu.

Mnamo mwaka 1953 alihitimu katika chuo cha kati cha Kabul Women's College, na kupata shahada ya uchumi kutokea Marekani mwaka 1958[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Encyclopedia of the modern Middle East & North Africa. Philip Mattar (toleo la 2nd ed). Detroit, Mich.: Macmillan Reference USA. 2004. ISBN 0-02-865769-1. OCLC 54677556. {{cite book}}: |edition= has extra text (help)CS1 maint: others (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masuma Esmati-Wardak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.