Nenda kwa yaliyomo

Maryam Namazie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maryam Namazie

Amezaliwa 1966
Tehran
Nchi uingereza
Kazi yake Mwana harakati wa Haki

Maryam Namazie (alizaliwa Tehran, 1966)[1] ni raia wa Uingereza na Iran, mkomunisti na mwanaharakati wa haki za binadamu, mchambuzi, na mtangazaji.[2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Maisha yake ya awali yalilenga kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wakimbizi, haswa katika nchi za Sudani, Uturuki, na Irani,[3] na kwa bidii walifanya kampeni dhidi ya sheria za kiislamu (sharia law). Namazie alifahamika zaidi katikati ya miaka ya 2000 kwa sera zake za kijamaa na ukosoaji wake dhidi namna wanawake wanavyotendewa chini ya utawala wa kiislamu.[2] Mwaka 2015, mihadhara yake ilipingwa na makundi yaliomtaja kama mchochezi.[4][5]

Namazie ni msemaji wa mshikamano wa Irani (Iran Solidarity), sheria moja kwa wote,[2] na baraza la waliokuwa waislamu Waingereza na mlezi wa chama cha Association of Black Humanists.[3]

Namazie ni mshirika wa heshima wa chama cha taifa cha ujamaa (National Secular Society).[6]

Namazie alizaliwa katika jiji la Tehran, lakini aliondoka na familia yake mnamo mwaka 1980 baada ya mapinduzi ya Irani ya mwaka 1979.[7][8] Baadae aliishi India, Uingereza, na Marekani, ambapo alianza masomo yake akiwa na umri wa miaka 17.[9]

  1. "'Enorme druk op liberale moslims'", 27 July 2007. (nl) 
  2. 2.0 2.1 2.2 "Profile: Maryam Namazie", 5 February 2009. 
  3. 3.0 3.1 "Biography". MaryamNamazie.com. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Gilbert, Simon. "Speaker banned from Warwick University over fears of offending Islam". Iliwekwa mnamo 26 Septemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Adams, Richard. "Student union blocks speech by 'inflammatory' anti-sharia activist", The Guardian, 26 September 2015. 
  6. "National Secular Society Honorary Associates". National Secular Society. Retrieved 5 June 2019
  7. Casciani, Dominic. "Ignore Islam, 'ex-Muslims' urge", 21 June 2007. 
  8. Cohen, Nick. "One woman's war", London: The Guardian, 16 October 2005. 
  9. "Biography". Website Maryam Namazie. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-09. Iliwekwa mnamo 1 Desemba 2013. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maryam Namazie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.